SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

14 November 2011

HABARI MATUKIO KITCHEN PARTY YA HOPE KASIMBAZI:PHASE 2

It was unbelivable to most of the guests if this was a real cake!!!!because of its uniqueness it had,first of all the shape,decoration and well arranged colours on it.Most of the guests made cheerfull noise after realising that this was a delicious and a fantastic cake prepared for Hope the bridegroom and guests.
I conclude by saying that this cake was delicious and unique I have never seen in such kitchen parties here in town.
BUKOBAWADAU WE ARE SAYING THAT"ILIKUWA FUNIKA ILE MBAYAAAAAAA"!!!

When I remember how delicious the food was,i just find that have even changed the language
It was double happiness as you can see Hope's young sisters and close friends enjoying the meal.
Happiness continues even to our dearest guests as they are enjoying the delicious meal
Hope the bridegroom with her closest friends discussing how the party is going on.
Mama Hope (kushoto)wakati wa maombi
Mama shughuli maarufu kama Mama Stevin alifanya vyema kazi yako,yeye tu ni sehemu ya burudani tosha ukiachilia mbali utalamu wa kuongea pia mambo ya kufunda anayajua sambamba na kulekebisha,kukalabati au kubolesha Ndoa zilizo mashakani kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Bukobawadau blogspot.
Mtamboni yupo Mtaalam wa Mikato,full mixing,ni miongoni mwa madj anaye jua ni nini anakifanya anaitwa Dj Max alifanya watu wakatike kwenyenyimbo za Injiri
katika hili tumsifu Yesu kristo

Taarabu,Rusha roho,Mambo ya pwani kwa Bukoba ndipo tanulu lilipo.
Picha ya wadau wageni waalikwa.
Kutoka kushoto ni Judy,Joice na wa mwisho ni Happy Mwanga
Ni usiku wa aina yake ndani ya Club linaz
wadau wakitoa suport kwa Mama Kasimbazi.
Wadau pichani ni wadogo zake Hope....
Wadau Bi Pene wa Kagera studio na mdau Jane wa MTK
Wadau katika picha ni Mrs Mohamed na Mama Khadija.
According to the timetable provision of gifts was categorised in different categories such as GROUP GIFT,CLOSE FRIENDS GIFT,RELATIVES GIFT,PARENTS GIFT and finally INDIVIDUAL GIFTS.This brought awareness and courage to the bridegroom and lastly it showed co-operation from her friends.
Dancing in progress Mgeni Idrisa, Rehema Ramadhan and Happy Lameck kasimbazi could not sit and watch instead all of them got up and started to shake their bodies with full joy.
LEKA CHIKANKANEEEEEEEEE!!!!
Mama charles one of the guest in a well presentable view
The last but no the least one of the guest left all the guests in an amazing situation when she showed her skills and stamina in dancing

12 comment:

zungu said...

bukoba sasa kama marekani huyo bibi aliyekata kipara kanifurahisha kaenda na wakati hereni kubwa,kavaa kagauni kafupi ka hatari,hongera bibi umependeza

Anonymous said...

Pumbafuuuuuuuuuuuuuuu

Amy R. Jarrett said...

Bingwa wa kuchukua waume wa wenzie sasa naye ngoja akaonjeshwe joto ya jiwe.
Furaha gani wakati alishaolewa siku nyingi?

Anonymous said...

Hamna adabu nyie wezi wa waume za watu,unafurahi nn uku unaenda kuolew na mme wa mtu na bado zamu yako utazaaje ma zeruzeru eeeeeh unalo shoga salamu bukoba

Anonymous said...

wote ni watoto hata ukizaaa zeruzeru ni binadamu,hope we sio wa kwanza kuolewa na mume wa mtu,usijari hayo ni maneno ya wakosaji,karibu kwenye chama cha ndoa,ndoa ni tamu na inaitaji uvumilivu,WAPOTEZEE

Anonymous said...

Ili uendelee unahitaji marafiki na ili ufanikiwe unahitaji maadui na wanafiki kama Ammy na anonymous namba nne,big up Hope kakupenda na mmependana .kaza uzii

Anonymous said...

Yangu macho, (utasema lipi uache lipi) sitaki kusema niyajuayo juu ya Hope ila!!!! Tuombe uzima tuwepo
Hongera Classmate wangu Hope
Jesca
UDSM

Anonymous said...

jamani kama nimemwona georgina george ndiye?

Anonymous said...

alokutumia message hii naicopy tena na ``Hamna adabu nyie wezi wa waume za watu,unafurahi nn uku unaenda kuolew na mme wa mtu na bado zamu yako utazaa ma zeruzeru eeeeeh unalo shoga salamu bukoba`` kama alishindwa wewe utaweza, asijidai anakuombea zeluzelu kwani pia nae ni mtoto kwani mbona ameandika kwa machungu katemwa nini, usijali maneno ya mkosaji hata siku moja we komaa na utashinda kwani maisha ya ndoa matamu asikuchanganye mwambie kasusaaaa haaaa wengine walaaa ataji JJ!!!! Big up Hope na mmependeza mbaaaayaaaaaa

Europe!!!!!

Anonymous said...

acheni ushamba wizi, wizi kama wizi mtamu nendeni mkaibe, hamna sifaa, acha ajiachie mwanawane, mtajiju mtoto ni mkali hata kama hajawaibia basi mnajihisi, mtoto kapendeze, kitchen party kali mnaaaalloooooo haaah mwachekesha umati eti mwizi wa waume za watu kaibe kama ni rahisi, na wakanyeni waume zenu wasiibe waremboo teh teh imetuliaaaa mnaaaaaloo wivuuuuuuutuuuuuuuuuuuuh hah hahaaa!

Joeljustus justas said...

Naipenda sana bukoba nawapongeza kwa kujitahidi hili na sisi tujulikane itakuwaje siku zote watu twaiona Dr es salaam2 babukubwa nahamini hapo tulipo fikia bukoba ni hatua kubwa

Anonymous said...

Hivi hao walong'ang'ania wizi wizi sijui waume wa wenzio. Wamekaa na kuwaonya waiziiiii wenyewe?? Hahaaaiyaah, wakuache mtoto Hope, ukizingatia wewe Ni Mrs flan wao waachoongaa, embu wakuache waende zao wakawapende waume zao hadi Ziwa Viktoria likauke na na wakinywa maji basi hao waaaiiizi basi wazione sura zao kwenye glass teh teh!!!
Ebwana ee ninjakulila inye booojo

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU