SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

13 July 2012

CAMERA YETU PANDE ZA KIGALI RWANDA -WADAU KATIKA KIKAO CHA HARUSI YA MDAU UWASE MARIAM KABENDERA SHINANI

Marafiki wa Bi Mariam wakiwa katika kikao kilichofanyika nyumbani kwao Usiku wa jana.
Marafiki wa karibu wa familia ya Kabendera Shinani waliohudhulia kikao cha kwanza cha maandalizi ya harusi ya Mdau Uwase Mariamu  Kabendera anaetalajiwa kuolewa hivi karibuni .
Kushoto ni Bi harusi mtarajiwa Uwase Mariam Kabendera ni Mdau mwenzetu  kwa sasa yupo Nchini Rwanda  kikazi ni mtangazaji  wa Contact Fm Radio inayosikika kutoka Kicukiro Kigali Rwanda.
 Ndg wa familia pichani  anaonekana Mdau Dada(Mama Shiva)Kabendera mwenye mtoto akifuatilia ajenda za kikao na kwa hapa mjini Bukoba tayari vikao vinaendelea kila siku za Jumapili katika viwanja vya Bukoba Club.
 Kulia namtambua kama Shemeji, na ninachoweza kusema kwake ni kwamba Jiko hilo amepata ashindwe mwenyewe kupika.!!!

BUKOBAWADAU BLOG TUNAWATAKIA MAANDALIZI MEMA NA TUPO PAMOJA NANYI!!!

1 comment:

Anonymous said...

Kwanini hujataja jia la mkurugenzi wa hiyo hoteli?

ukitaja itakuwaje? basi usingeweka kabisa as ni kaama hukutaka kujua jina au unajua na umedharau kuweka.

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU