Bukobawadau

LEO TENA KATIKA KUMBUKUMBU NI MATUKIO MBALIMBALI YA WADAU MAUJAJI.

 Ni habari matukio ya wadau katika safari ya  hijja,kwenye miji ya Makkah na Madina
 Wadau pichani  ni Sheikh Idrisa ikiwa ni mara yake ya tano kuwa hija na kulia ni mzee Haruna Mugura  katika kutekeleza Ibada hii takatifu.
 Kikubwa ni Ibada na kuachana kabisa na mapambo ya kidhahiri katika hii Dunia.
 Pitipita za hapa na pale katika mji wa madina
Akiendele na Uradi taratibu..
Hajji Nuru kushoto katika picha ya kumbukumbu na wenzake.
HAJATH akiwa  katika tafakari muda mchache kabla ya safari ya kurejea.
Next Post Previous Post
Bukobawadau