Bukobawadau

MATUKIO YA WADAU KATIKA PICHA KWA WEEKEND HII

 Mzee Mashalano  pichani kulia akipokea kiasi flani kutoka kwa Mwananzengo Ben Mulokozi aka mr appetizer  baada ya kuvutiwa na  Swaggar za mzee huyo.
 Camera yetu ikishuhudia namna  Mr appatizer anavyofanya yake bila shaka ya itakuaje kesho.
 Balaza likiendelea akajumuika mdau mwanamama pichani kama inavyo onekana akisalimiana na Wadau wenzake.
 Vile wadau wakisalimiana na Mama katika hali ya Unyenyekevu kinyumbani wanasema 'Amakune'
 Meza ya wadau wakifurahia weekend uku wakibadilishana mawazo  na kujadili mstakabali wa maswala mbalimbali kijamii na kitaifa.
 Nikabahatika kukutana na Mzee Wetu Mzee Kiiza  pichani kulia  akitoa ufafanuzi juu ya jambo flani kwa Mdau Ben Kataluga(pichani kushoto)
 Yupo pia Mdau wa Runway Ndg Edwin pichani kulia.

 Kushoto anaonekana Mzee Matambula akitete jambo na Mdau Ben Kataluga mara tu alipofika eneo hili kujumuika na wadau.
Binafsi upenda kumuita mtaalam ni Eng. Denis (kushoto)akimkaribisha Mdau Mzee Matambula.
Anaitwa Mdau Bekatise Tinka a.k.a mpambanaji.
 Wadau wakiojumuika katika Balaza hili la wadau.
 Naam!hizi ni swaggar za utambulisho.!
 Moja ya picha Maalumu kama Wanaumoja wa kikundi kijulikacho kama 'OLUGOYE OLUTAGUTUKA' yaani Umoja imara

Mdau Joha Lugenge na mwenzake wakicheck na Camera.
 Kijana Avit pichani kushoto naye akajumuika.
 Anaitwa  Mdau Spilian Lugazia (kushoto)katika picha ya pamoja na wadau David Kahawa na Rugachwa kikubwa kinachofurahisha ni ile hali ya watu wanavyo pokea na kutambua uwepo wa mtandao wetu wa Bukobawadau.

Kijana Fuady na Mdogo wake Ashraf (lil Ash) katika utambulisho kwa Mzee Ishengoma kotoka kwa Mr Appetizer Ben Mulokozi a.k.a rais wa kanda ya ziwa.
 Upande wa maegesho hivi ndivyo mambo yalivyo.
Wasiliana na bukobawadau kupitia 0715 505043, 0754 505043,0784 505045 kuhusiana na kazi hama ushauri juu ya mwenendo wa libenekeb hili, pia waweza kututumia habari yoyote au tukio lolote kupitia  Email yetu bukobawadau@gmail.com kikubwa kwetu ni kwamba hatufungamani na mtu au kundi lolote.!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau