SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

06 February 2013

BUKOBA YETU HII LEO FEB,5,2013

Camera yetu Mjini Bukoba  leo tarehe 5.2.2013,Asubuhi hali ya manyunyu  mvua ilijitokeza na kufuatia na ya Jua kwa masaa ya mbele.
Muonekano wa Mghahawa wa Rose Cafe
Wanaonekana wadau pichani Ndg Murshid na Ndg Optaty Henry.
Jamhuri ya Jamhuri, maeneo ya duka la Parma.
Bi Lilian Peter Mwise wa Tigo katika kuwajibika.
Bi Rukia mwingi wa bashasha, hana tatizo na mtu.
 Lango kuu kuingia E.L.C.T  Garage
 Ofisi za ELCT Garage Bukoba
Kwa Nurshad.
Msikiti wa Wahindi, Bukoba
 Jengo la Mama wa Mkombozi
Msikiti wa Jamia , Msikiti wa Ijumaa Mjini Bukoba
 Barabara inayoelekea hospital kuu ya Mkoa.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU