Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU TASWIRA MBALIMBALI ZA MJI WA BUKOBA


Picha safi ya kisiwa cha Musila, huu ni ujio wetu mwingine kabisa.
Furahia Bukobawadau blog, furahia maeneo mazuri yenye kuvutia mjini Bukoba
Maeneo yenye fursa ya kuwekeza na yenye kuvutia utalii
Uvuvi ukiendelea ziwani Victoria.

Taswira katikati ya Mji wa Bukoba
Muonekani wa Kanisa la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Kashura 
Gereji kwa Mlima.
 Maeneo ya Bunena Kanisani
 Kanisa Kuu la Kash0zi
 Usawa wa Kashura pembezoni mwa ziwa victoria
Sehemu ya kuoshea  magari iliyopo machijioni, tatizo ni pale tu utakapo hitaji kupaendeleza..
 Viwanja Vya Gymkhana wadau wakicheza Cricket
 Fukweni maeneo ya Space Beach
 Mjengo iliopo  maeneo ya Kashura.
 The WalkGard Hotel
Next Post Previous Post
Bukobawadau