SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

29 November 2013

MAISHA YA WATU HATARINI

 Hili ni ghorofa linaloendelea kujengwa ktk kitongoji cha Bukoko,kata ya Kanyigo,wilaya ya Missenyi,ambalo kwa mujibu wa mhandisi majengo wilaya ya Missenyi Bw Kilawila Mboya, limejengwa chini ya kiwango na linaweza kuporomoka wakati wowote.Licha ya kuweka alama za X kuzuia ujenzi tangu mwezi Septemba 2013,ujenzi bado unaendelea na maisha ya wapita njia na watakaopanga yako hatarini. 
Muonekano wa jengo lililojengwa chini ya kiwangu na kuwa na mapungufu mengi.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU