Bukobawadau

KADETFU INAWALETEA MRADI WA NISHATI ENDELEVU KWA MAENDELEO YA UCHUMI


Katika Picha ni Mitambo inayotoa gesi

KADETFU (Kagera Development and Credit Revolving Fund) tunatekeleza mradi wa Nishati endelevu kwa maendeleo ya uchumi (SEED) unaotumia samadi na mabaki ya chakula ili kupata GESI ya kupikia na kuwasha taa. Ni teknolojia inayohifadhi maingira pia.

Tunawakaribisha kutumia biogas kuokoa mazingira na kwa matumizi ya nyumbani na kwa bihashara yako ndogo.
Tunawakaribisha kujifunza na kutumia tekinolojia mpya na rahisi.
Wasiliana na :
KADETFU
Tel/Mob: +255 (28) 2220717/ 754740267/763943050
Next Post Previous Post
Bukobawadau