SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

16 December 2013

BASI LA BUKOBA EXPRESS LAPINDUKA ASUBUHI YA LEO HUKO KAHAMA

MUONEKANO WA BASI LA BUKOBA EXPRESS T 315 BLC BAADA YA KUANGUKA ,BASI LILIKUWA LINATOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA BUKOBA MUDA MCHACHE BAADA YA KUANZA SAFARI ALFAJIRI YA LEO KUTOKA LILIPOKUWA LIMELALA,TAYAR KUANZA SAFARI YA KUELEKEA BUKOBA,WATU WOTE WAMENUSURIKA KIFO NA WENGINE KADHAA WAMEPATA MAJERAHA !!!

2 comment:

suka the lyrics said...

tatizo hawa watu wa mabasi wanashindana nani atakaefika bukoba wa kwanza,inabidi matraffic wawe serious na suala hili hasa msimu huu wa sikukuu,poleni wenye majeraha

iddy jumbe katumba said...

Maoni yangu kwa Polisi usalama barabarani Isaka,kuna tuta mkabala na BBC ukweli na uhakika wapo baadhi ya madereva wa mabasi ya masafa marefu hupita hapo kwa mwendo kasi bila kujali wao wamebeba maisha ya abiria wao. wanapo bainika sheria ichukue haki yake wajue kua hapo kuna rika tofauti pamoja na watoto wavukao barabarani.mwisho nawapongeza Polisi Isaka kwa umakini ktk utendaji wao mzuri wa kazi./Jumbe=Isaka shyz-Tz

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU