SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

17 December 2013

KIJIJINI KAMACHUMU NA CAMERA YETU LEO DEC 17,2013

Katikati ya mji mdogo wa Kamachumu makutano ya barabara iendayo Rutabo Shule ya Sekondari,kulia ni kuelekea hospital ya Ndolage
 Mdau Shaban Kabalabala maarufu kwa jina la Mjeshi.
 Wana wa Kamachumu wakicheck na Camera yetu.


 Bango la shule ya Sekondari ya Rutabo.
 Mmoja wa waendesha pikipiki maarufu kama Assecdo akicheck na Camera yetu
 Kamachumu na Camera yetu leo Dec 17,2013.
Maboresho ya barabara yakiendelea.
 Irogelo Magenyi Kamachumu
 Kikwetu kwetu hizi nyasi ni sawa na Kapeti au zulia kwa matumizi
Bango la shule ya Sekondai Kamachumu.
 Barabara kuu kuelekea Rubya , Lutenge.Kabale na vijiji vya jirani
Gari la kusafirisha abiria kati ya Nshamba, Kalele, Mlela, Kishanda, Buganguzi, Lutenge Kamachumu, Muhutwe,Kagondo,Kemondo hadi Bukoba Mjini likiendelea kutoa huduma barabarani.
Soko la Milama Kamachumu mkungu wa ndizi pichani unauzwa Tsh 15,000 kwa siku ya leo
Kiza kikiwa kimeanza kutanda, ni taswira mbalimbali ya mji mdogo wa  Kamachumu hii leo.

3 comment:

Anonymous said...

Nashukhuru umeweka picha za nyumbani.nasikia raha kuona mji niliokulia.siku nyingine nenda na kijiji cha buganda utuwekee picha za huko.

Anonymous said...

Also wewe ukifika Kamachumu kwa nini huwekagi Hospitali ya Ndolabe bosi?

Anonymous said...

Kweli Bukobawadau mnaweza sasa kufanya mambo makubwa katika njia rahisi sana kama hii, kwa hakika mnaongeza amani ya mioyo ya wengi kwa kuonyesha maisha halisi na uzuri wa Bukoba/Kagera.
Hivi huyo Kabalabala si jina lake lingine anaitwa Naziri!?

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU