SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

08 December 2013

MR.HASSAN(HANS) MUNJURI AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI


Ndg Hassan Munjari maarufu kwa jina la Hans ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu asiyejulikana,tukio hilo limetokea majira ya saa 4 usiku wa Jumamosi Dec 7,2013 maeneo ya Yaasila mjini bukoba.
Jeshi la Polisi bado linaendeleana uchunguzi wa kifo hicho.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi amen!

2 comment:

Anonymous said...

So sad.. Bukoba yetu hii
tunayoifahamu yameanza kujitokeza matukio kama hayo?? Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi..

Anonymous said...

Daah! Mungu kampenda zaidi! Naamini malipo ya muuaji ni hapa duniani!

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU