SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

03 December 2013

OFISI YA CHADEMA MKOA WA ARUSHA YACHOMWA MOTO

Ofisi ya Chadema Mkoa wa Arusha imechomwa moto na watu wasiojulikana. Jitihada za kudhibiti moto huo zimefanikiwa na taarifa zinasema hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa, uchunguzi unaendelea kubaini chanzo cha moto huo.
Muonekano wa sehemu walipo ingilia.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU