SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

17 December 2013

PICHA YETU YA LEO DEC 17,2013Mdau msomaji kumbuka tunapokwenda  inategemea sana na tunakotoka maana hapa tulipo ni matokeo ya kule tulikotoka sisi kama wadau kwa pamoja.!!!

2 comment:

Anonymous said...

hii ni nini tena hao wanafunzi ni chakula cha kula wao au? mbona na wewe hauweki maelezo unaweka picha za mateso badala ya hao watoto kuwa darasani

tueleze imekuwaje?

Huyo mtoto mdogo unaweza weka habari yake zaidi apate msaada, nimesikitika kumuona hivyo.

Anonymous said...

hata mimi nimemenya sana ndizi wakati niko kashozi sec.nilikuwa sipendi basi tu.

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU