SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

17 December 2013

TANGAZO LA KIFO CHA MAREHEMU MAMA WINIFRIDA KALEMERA

FAMILIA YA MZEE AUGUSTINE KALEMERA NA KAMPUNI YA KIROYERA TOURS WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA WINIFRIDA KALEMERA MAMA MZAZI WA MAMA MARY KALIKAWE AMBAYE NI MMOJA WA WAKURUGENZI WA KIROYERA TOURS,KIFO CHA MAMA WINIFRIDA KALEMELA KIMETOKEA LEO  MAJIRA YA SAA 9 MCHANA KATIKA HOSPITAL YA MKOA KAGERA.
BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA WAFIWA WOTE,TUNATOA  POLE KWA MAMA MARY KALIKAWE KUONDOKEWA NA MAMA MZAZI!!!

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU