SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

03 December 2013

TASWIRA MBALIMBALI MJINI BUKOBA LEO JUMANNE DEC 3,2013

 Shule ya msingi Rumuli ,kwa nyuma yanaonekana mabwawa ya samaki  wa kufugwa.
Taswira  mjini Bukoba muonekano wa Msikiti wa Bilele na maeneo mbalimbali.
Kanisa kuu Jimbo katoliki la Bukoba
 Mandhari safi ndni na pembezoni mwa mji wa Bukoba
 Maeneo ya Bakhita barabara ya Uganda.


 Milima ya Kisindi, na maeneo jirani.
Barabara ya Jamhuri.
 Shule ya Sekondari Bukoba
 Muonekano wa Jengo la mahakama mjini hapa
 Mitaa ya hindu Bukoba
 Kwa hisani ya OXYGEN BAR &LOUNGE

3 comment:

Anonymous said...

Kwa picha hizi chache tu zinaweza kumpa yeyote yule ni jinsi gani mji wa Bukoka na maeneo ya jirani yalivyo mazuri kwa maisha ya binadamu

Anonymous said...

Bukoba ni mji unaovutia kwa rangi yake yakijani na hali nzuri ya hewa.mc naomba pics za hamugembe.mdau wa Dar es salaam

lily said...

Jamani hizi picha zimenikumbusha mbali Sana, yaani nimeimiss bukoba sana

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU