Bukobawadau

ZITTO KABWE AVULIWA WADHIFA WAKE BUNGENI WA NAIBU KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI.

Hatimae Wabunge wa CHADEMA wametekeleza agizo la Kamati Kuu la kumvua nyadhifa yake bungeni muda mfupi uliopita!

Ikumbukwe kabla ya kuvuliwa wadhifa huo Mh. Zitto alikuwa Naibu kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni inayoongozwa na Mh. Freeman Mbowe.
Next Post Previous Post
Bukobawadau