SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

23 January 2014

AMANI AKANUSHA KUJIUZULU ASEMA KAMA YEYE NI FISADI APELEKWE MAHAKAMANI

Mh. Anatory Amani katika mahojiano na STAR TV usiku wa Jan 22,2014 amesema yeye hajawahi kutamka kujiuzulu na sio kweli kuwa amejiuzulu
 

Amesema hawezi kujiuzulu.kwakuwa hajafanya kosa lolote na CAG alitoa hati safi kwa manispaa yake 2012/13. Kwanini leo aseme yeye ni fisadi.

Anasema yeye anaendelea kufanya kazi zake kama kawaida akiwa meya halali wa manispaa ya Bukoba.
Mimi sijajiuzulu sikuile baada ya ripoti ya CAG kusomwa mimi niliambiwa niseme neno na naibu waziri nikasimama nikainua mikono juu na kusali Zaburi 23 ninayoifahamu kwa kichwa 

Chanzo star tv

8 comment:

Anonymous said...

Huyu jamaa na shule aliyonayo hajui jera iko usoni mwake..kweli elimu uodoa ujinga.sio upumbavu.

Anonymous said...

Mwizi tu huyu analolote asubili mahakamani anafikili hata palekwa hatakwenda tu muone na minywele.

Anonymous said...

awadanganye nyie wa bukoba tulimuona kwenye tv na hii hapa video yake akitangza kujiuzulu.

https://www.youtube.com/watch?v=VZxMNsWvg-c

Anonymous said...

Alitaka kuokoa bukoba ila wana bukoba hawana uwelewa wanajifanya somile lkn amna kitu.Amani bukoba na maendeleo.ancheni kumburuzwa wana bukoba.

Anonymous said...

Alitaka kuokoa bukoba ila wana bukoba hawana uwelewa wanajifanya shomile lkn amna kitu.Rwangisa miaka yake yote alifanya nini?jamaa huyu miaka miwili tumeona maendeleo mitaa yote,ancha nawegine wachunguliye.aneeleta maendeleo nimbaya,basi mulete mzungu. Amani bukoba na maendeleo.ancheni kumburuzwa wana bukoba.end patrick b. terugwa

Anonymous said...

Kwa nini kubishana naye?kama anasema hajajiuzuru ni yeye na kama kajiuzuru ni yeye.ya nini malumbano

Anonymous said...

hana haya ajui kuta za jera anategemea shule

Anonymous said...

ajui kuta za jela

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU