Bukobawadau

CHECK USHIRIKI WA WADAU KATIKA HAFLA YA USIKU WA WINDHOEK NDANI YA THE WALKGARD TRANSIT HOTEL

 Wadau mbalimbali wa Mji wa Bukoba wameweza kushiriki hafla ya Usiku wa Windhoek iliyofanyika usiku wa Jumatatu Jan 6,2014 Katika ukumbi wa Transit Hotel The Walkgard
Hafla hiyo imeandaliwa na Kampuni ya Mabibo Beer Wines & Spirits LTD ya Jijini Dar es Salaam.
Mdau Mtendaji wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines & Spirits LTD Ndg Jerome Rugemalira akiwakaribisha wadau   walioshiriki hafla hii na kutoa ufafanuzi juu ya Bia ya Windhoek .
Taswira usiku wa Windhoek Lager Mjini hapa Jan 6,2014 kupitia Bukobawadau Blog.

Mrs Deo Lugaibula kushoto, Betty  na Mr Deo Lugaibula
Sehemu ya wadau katika hafla hii. 
Meneja wa Lake Hotel , Ndg Twaha  Yunusu Mgogo maarufu kama 'Msoke' akitete jambo na Meneja wa Bukoba Club.
Mwanadada Theonestina, Katikati ni Bi Jack wa mwisho ni Bi Maua Daftari wa Ramadhani 
 Wadau wa Windhoek wakiendelea kufurahia siku.
 Mzee Matungwa Mkurugenzi The Walkgard Hotel
 Hivi ndivyo usiku wa hafla ya Windhoek ulivyo pamba ndani ya Kiota cha The Walkgard Transit Hotel Bukoba.
Bi Jack na Bi Maua
Mdau Jerome akiwakaribisha Wageni Chakula cha usiku wa  Windhoek.
 Mama Janath Mussa akipata huduma ya Chakula
 Pichani yupo Mama Edward maarufu kama(Mgole Shop) akifuatiwa na Mkurugenzi wa Walkgard Hotel Mama AdventinaMatungwa
 Mwanadada Lilian Peter Mwise akipata huduma ya chakula
Waalikwa wakipata chakula.
 Bi Eunice Luangisa na Bi Lily wakipata chakula.
Huduma ya chakula ikiendelea.
 Dada Jane wa MTK Bar na Mama Sulum wa Kibengwe.
 Mama K na Mdau Patrick
 Sehemu ya wanahabari wakipata msosi.
 Mdau Shamsu Bwikizo kushoto na Ndg Willy Rutta wa Kiroyera Tours

Kushoto ni Mdau Bushira na Ndugu Basibila kubwa kuliko ni mchanganyiko wa Climax na Windhoek.
 Mdau Samora akipata msosi
Bi Benna na Bi Betty
 Mwisho wa matukio wa kupata msosi
 Baada ya Chakula Mmoja wa Wadau wa Windhoek kutoka kampuni ya Mabibo Beer alipata fursa ya kuwashkuru wadau wote waliojitokeza kushirikiana nao katika hafla hii.
Mdau Innocent 
 Wanandugu wakishow love mbele ya Camera yetu.
Mr Jerome katika picha na Mzee Matungwa wa The Walkgard Transit Hotel.
 Eugen Kabendera Kushoto, Optaty Kajuna na Ndg Bushira
 Hafla hii imeandaliwa na Kampuni ya Mabibo Beerwaalikwa katika hafla hii ya Usiku wa Wines & Spirit LTD.

Mkurugenzi wa The Walkgard Transt Hotel wa pili kulia katika picha ya pamoja na wadau wa Windhoek
Hafla hii imewashirikisha watu wa aina zote.
Endelea kuwa nasi ...!!
 Mdau Jamal na Mdau Jerome
 Mdau Jerome katika picha na Balozi wa Windhoek na Climax mjini hapa
 Mdau Self Mkude pichani kushoto.
 Yupo mzee Mandela na Bi Passy mwakilishi wa New Coffee Tree Hotel.
 Eugen na Optaty wakifurahia jambo.
Kwa hizani kubwa ya Mabibo Beer wasambazaji wa Windhoek na Climax




Next Post Previous Post
Bukobawadau