Bukobawadau

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU ATETA NA WATUMISHI WA OFISI YA WAZIRI MKUU

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Frolence Turuka akisisitiza jambo wakati akiongea na watumishi wa Ofisi hiyo katika Ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam jana.
 Kaimu Mwenyekiti wa TUGHE- Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Numpe, akieleza masuala mbalimbali yanayowahusu watumishi wa Ofisi hiyo wakati wa Mkutano wa Watumishi wa Ofisi hiyo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Frolence Turuka .

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Regina Kikuli  (kulia )akimpongeza Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu- Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Immaculata Ngwalle (kushoto) kwa kuandaa kikao cha Watumishi wa Ofisi hiyo na Katibu Mkuu.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Next Post Previous Post
Bukobawadau