SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

16 January 2014

KUHUSU JACKIE CLIFF KUWA URAIANI AU LAA?!! HIKI NDICHO ALICHOPOST INSTAGRAM...!!!

Hii Sijui imekaaje,sijui ndio chezo gani linaendelea, ila ndio hivyo Mwanadada Jack Cliff anaye semekana alikamatwa na madawa ya kulevya nchini china amepost picha yake hiyo kwenye instragram yake hivi karibuni,.....Hata Masogange ilikuwa hivi hivi alianza kupost post picha zake mara tukasikia Yupo huru.!!

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU