SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

22 January 2014

MBUNGE WA BUKOBA MJINI MH BALOZI KHAMIS KAGASHEKI ATAWASILI KESHO MJINI HAPA NA KUHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA KATIKA UWANJA WA UHURU.

 Mbunge wa Bukoba Mjini (CCM), Mh. Balozi Khamis Kagasheki  anatarajiwa kuwasili kesho alhamisi Jan 23,2014 na kuhutubia mkutano wa hadhara .
Balozi Kagasheki atawasili katika uwanja wa Ndege wa Manispaa ya Bukoba  kwa ndege maalumu majira ya saa 8 mchana.Atapokelewa kwa maandamano makubwa yatakayo elekea Uwanja wa Uhuru ambapo atazungumza na wananchi wa jimbo lake .

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU