Bukobawadau

MH.SAID BWANA MDOGO MBUNGE WA CHALINZE(CCM) AMEFARIKI DUNIA MAPEMA YA LEO JAN 22,2014

Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Ofisi ya Bunge inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndgu wa marehemu
Next Post Previous Post
Bukobawadau