SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

20 January 2014

PENZI LA WEMA, DIAMOND...UCHAWI!

SIJUI ni hasira au nini! Mama mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu ‘Mama Wema’ amemshika uchawi mpenzi wa bintiye, Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku akilaani vikali kitendo cha kumrudia mwanaye akidai lengo lake ni kumharibia maisha, Ijumaa Wikienda lina mkasa kamili mkononi.
 Wema na Diamond pichani
Mama Wema alitoa hisia zake hizo juzi jijini Dar es Salaam alipoongea kwa simu na paparazi wetu huku maneno yake yakiwekwa kwenye kumbukumbu ya kinasa sauti cha Global

1 comment:

Anonymous said...

Hakuna cha kurogwa wala kuroga,mchawi wa mwanae ni yeye mwenyewe WEMA maana hajatulia hata kidogo.So jana karogwa kweli aliyemloga alishakufa na wala si DIAMOND.Mama muangalie mwanae mara mbili ni mgonjwa wa akili.

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU