Bukobawadau

AJALI YA BASI HUKO SINGIDA ISUNA FEB 2,2014

Ajali ya Basi likiwa limegonga lori aina ya fuso kwa nyuma imetokea huko Singida.
 Ajali hii imetokea majira ya saa 11 jioni Feb 2,2014  eneo la Isuna Singida
 Watu wawili wamejeruhiwa vibaya sana na mmoja amekatika  mguu na mkono.
 Wakazi wa Singida wakishuhudia tukio la uokoaji
 Taswira ajali ilivyotekea.


Next Post Previous Post
Bukobawadau