Bukobawadau

BALOZI KAMALA AONGOZA KIKAO CHA MASHAURIANO ADDIS ABABA ETHIOPIA

Balozi wa Tanzania BELUX, Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani  Pacific (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiongoza kikao cha Mashauriano ya nchi za Afrika Mashariki kuhusu muundo na majukumu ya ACP baada ya mwaka 2020. Kikao kinafanyika Ethiopia, Addis Ababa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau