SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

08 February 2014

BALOZI KAMALA ATEMBELEA BANDA LA BIASHARA LA KAMPUNI YA PRIVATE SAFARIS INAYOTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA

Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimsikiliza Bi. Delphine Coussie wa Kampuni ya Private Saris inayoshiriki Maonyesho ya Utalii Brussels. Kampuni hiyo inatangaza pia vivutio vya utalii vya Tanzania. Balozi Kamala ameishukuru kampuni hiyo na ameiomba iendelee Kuitangaza Tanzania

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU