SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

10 February 2014

KAMA UKUPATA BAHATI YA KUIONA HARUSI YA MWAKA 2014 HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KUWA NDANI YA UKUMBI WA NEW COFFEE TREE HOTEL

CHECK VIDEO HAPA CHINI ILIVYO KUWA NDANI YA UKUMBI WA NEW COFFEE TREE HOTEL MCHANA WA LEO JUMAPILI FEB 9,2014,PICHA ZAIDI NA MAELEZO YAPO KATIKA HABARI INAYOFUATA KWA CHINI

 USIKU WA DAYNA NYANGE TZ V/S CINDY SANYU WA UG NDANI YA LINAS NIGHT CLUB BUKOBA FEB 15,2014
FEB 15, 2014 - Itakuwa ni usiku wa aina yake kwa wakazi wa mji wa Bukoba na maeneo ya jirani,watakapo takiwa kujua nani mkali kati ya DAYNA NYANGE TZ V/S CINDY SANYU WA UG .Usiku huo hatuangalii Vivazi au nani anamiliki nini,ama yupi ni hot zaidi ya mwenzake,tunaangalia kitu kimoja tu,Nani mkali wa kuimba na kucheza Jukwaani?

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU