SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

09 February 2014

KAMPUNI YA UTALII YA BEL AFRIKA YA UBELGJI YATANGAZA VYEMA TANZANIA BRUSSELS

Bi. Laurence Joiris wa kampuni ya Bel Afrika ya Ubelgiji akinadi vivutio vya utalii vya Tanzania katika Maonesho ya Utalii yanayoendelea Brussels.
Dr. Remo wa Ubelgiji akifurahia kahawa ya Tanzania katika banda la Tanzania la Maonesho ya Utalii yanayoendelea jijini Brussels.
 Bwana Damian George Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Utalii ya African Breakaway Safaris akinadi vivutio vya utalii vya Tanzania katika Maonesho ya Utalii yanayoendelea jijini Brussels.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU