SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

27 February 2014

KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MWALIMU TA MARCO M KAHWA

Leo feb 27,2014 ni mwaka mmoja tangu umetutokami ,Tarehe ya leo ni siku ambayo hatuwezi kuisahau kamwe. Ni siku ambayo ulituacha familia yako katika majonzi makubwa sana. Ingawa hatukuoni, hatuongei na wewe, hatubadilishani mawazo kama ilivyokuwa wakati wa uhai wako.
 Sisi tulikupenda lakini Mola alikupenda zaidi. Mapenzi ya Allah Yatimizwe. 
 Tunamuomba Mwenyezi Mungu  ailaze roho yako mahali pema peponi.
AMIN...

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU