Bukobawadau

MATOKEO YA UCHAGUZI WA MADIWANI CCM KATA 24 CHADEMA KATA 3

Diwani wa Kata ya Tungi Mh Deogratius Paul Mzeru (Morogoro|)
 Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema anadaiwa kupigwa na kujeruhiwa na Polisi eneo la Sombetini. Atokwa machozi, ashindwa kuongea na waandishi katika harakati za udiwani. MATOKEO YA UDIWANI KATA YA SOMBETINI ARUSHA.
CHADEMA KURA 2548
CCM KURA 2077
CUF 33

KATA YA KIBORILONI
CHADEMA KURA 1001
CCM 254.

 MATOKEO YA JUMLA NDIYO YALIVYOLIPOTIWA KUTOKA VYANZO MBALIMBALI VYA UDIWANI.
CCM YAPATA KATA 24 HUKU CHADEMA IKIPATA KATA 3

KUTOKA BAGAMOYO
:
KIBINDU.Matokeo ya jumla:

CCM- kura 1682(75%),CHADEMA-kura 548(25%).

MAGOMENI Matokeo kwa jumla:
CCM 1183, CUF 708, CHADEMA 347.

KUTOKA LINDI NA MTWARA.
Nimezungumza na Mwenyekiti wa CCM Lindi na aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Chitanda na sasa amehamia CCM ni kwamba,
CCM imeshinda Kata Zote za Uchaguzi Uliofanyika hii leo.Mchanganuo Unakujia hivi Punde.
NACHINGWEA....
ADC -9
CUF -110
CHADEMA -188
CCM -517
KUTOKA IRINGA MBUNGE WA CHADEMA ANASEMA.

Peter Msigwa
Tumeshindwa kata ya nduli Iringa MJINI , polisi imetumika kwa nguvu kubwa kusaidia CCM ishinde , nimewekwa ndani kwa kosa amabalo sikutenda na Kisha kufikishwa mahakamani, Leo nilikamatwa tena nikazuiliwa masaa mtatu na vijana wangu 25 wapo polisi eti kwa kosa la kwenda kwenye eneo la kata.

KUTOKA KIGOMA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

CHADEMA wamepoteza kata ya MKONGORO Jimboni KWA Zitto Kabwe,Imechukuliwa na CCM(Kata Ilikuwa Inaongozwa na CHADEMA).

KUTOKA MOSHI.
Kata ya Kiboroloni imebakia CHADEMA

KUTOKA KONDOA MATOKEO NI
KONDOA CCM ------------1,296
CUF---------- 935.
CDM--------29
NCCR------34
CCM imeshinda



Next Post Previous Post
Bukobawadau