Bukobawadau

OFISI YA WAZIRI MKUU YAFANYA ZOEZI LA KUJIANDAA NA MAAFA


 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Bi. Rose Shelukindo akisisitiza umuhimu wa zoezi la Kujiandaa na Maafa yanayofanyika mjini Bagamoyo.
Baadhi ya Washiriki wa zoezi la Kujiandaa na Maafa  wakifuatilia maelezo ya Mpango wa kujiandaa na Maafa yanayofanyika mjini Bagamoyo kutoka kushoto ni John Jordan Mratibu i mradi CDHAM , Mhandisi. Fanuel Kalugendo-Ofisi ya Waziri Mkuu na Faith Cooper Mratibu Mradi CDHAM. 

 Mkurugenzi Idara ya Uratibu  Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Lut Jen (Mst) Sylivester Rioba (katikati), Mkurugenzi Msaidizi (Operasheni) Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Nyancheghe Nanai (kushoto) na Mkurugenzi wa Masuala  ya Afya USAFRICOM wakiwa pamoja mara baada ya Uzinduzi wa zoezi la kujiandaa na maafa.

 Washiriki  kutoka Tanzania, Marekani, Kenya, Nigeria,Ghana na Uganda wakiwa pamoja baada ya Uzinduzi wa zoezi la Kujiandaa na Maafa yanayofanyika kuanzia tarehe 3-7 Februari 2014 Mjini Bagamoyo, Zoezi hilo limeandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na USAFRICOM na CDHAM. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Next Post Previous Post
Bukobawadau