SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

07 February 2014

R.I.P MCH. ACKSON KABUGA;Familia inasema msiba huu unaendelea nyumbani kijijini Kagondo 'KARUGURU'

2 comment:

Mwesiga Mwesigwa said...

Nimeumia sana maana huyu baba,dah....ilikuwa tarehe 22/9/2009 aliponifungisha ndoa yangu takatifu; siwezi kusema mengi juu yake ila kila anayemfahamu anajua wema wake!
Mungu aliyemtumikia,amrehemu; pumzika kwa amani baba askofu!

Dickson Theonest said...

Me pia nimeumia Sana lakini katika yote jina la Bwana lihimidiwe.amen

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU