Bukobawadau

PICHA YETU LEO ALHAMIS MARCHI 27,2014

PICHANI: Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto walisimamisha msafara wao na kula chakula chini ya mti baada ya kutoka kwenye kikao jijini Arusha Tanzania. Viongozi hawa walitumia usafiri wa gari kutoka Kenya hadi Arusha na kurudi, siku chache tu baada ya kutangaza kufuta safari zisizo na lazima kwenda nje nchi kwa viongozi nchini Kenya.

Credits: Mbeya FM Radio Via Jukwaa Huru Media.
Next Post Previous Post
Bukobawadau