Bukobawadau

SERIKALI YA MALAYSIA YADHIBITISHA KUWA NDEGE ILIANGUKA KUSINI MWA BAHARI YA HINDI NA ABIRIA WOTE 239 HAKUNA ALIYEPONA

Huu ni ujumbe rasmi toka mamlaka za Malaysia, kwenda kwa ndugu, jamaa na marafiki wa waliokuwa abiria 239, wa ndege MH370, ya shirika la ndege la Malaysia, iliyopotea zaidi ya wiki mbili sasa. Mbali ya kujulishwa kwa njia ya ujumbe mfupi wa maandishi kwa njia ya simu (SMS), pia Waziri Mkuu wa Malaysia, Najib Razak, amejitokeza mbele ya vyombo vya habari na kutoa ujumbe huu live.
Next Post Previous Post
Bukobawadau