SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

10 March 2014

TEAM KANYAWELA JUMATATU YA LEO MATCHI 10,1014 NDANI 88.5 KASIBANTE FM RADIO TUPO NA MKALI LIL-ASHY

Katika jitihada za makusudi  kuwa support wasanii wa hapa Nyumbani,Kwa siku ya leo Jumatatu Matchi 10,2014 kiu ya wadau wengi ni kumsikia msanii  home boy, mkali Lil-Ashy ama Young Ashraaf akiwa ndani ya 88.5 KASIBANTE FM RADIO kwenye THE SCORE kwa interview na kupresent wimbo wake mpya unaoitwa UJIO WANGU!Siku hiyo tunatarajia kusikia na kujua mengi kutoka kwake chini ya DJ slaY ,Hii Ni noumah!kuanzia saa 8 mchana hadi 10 Jioni.Binafsi Niko na mengi ya kumuuliza ila hata wewe ukiwa na lolote mcheki kwa namba zake+255652489500
 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU