Bukobawadau

BAADA YA SHOW YA PASAKA MWANZA, SKYLIGHT BAND WAREJEA NYUMBANI KUENDELEZA BURUDANI LEO THAI VILLAGE

Aneth Kushaba AK 47 akiongoza waimbaji wenzake kutoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa ya mwisho kabla ya kuelekea jijini Mwanza kwenye ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar
Digna Mbepera akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band ndani ya Thai Village.
First lady wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akicheza kwa raha zakeee jukwaniii ndani ya Thai Village Masaki.
Muziki ni Hisia na ndicho anachokifanya hapa mpiga gitaa mahiri wa Skylight band Allen Kiso Mundende.
Aneth Kushaba AK 47 akiimba kwa raha zake ndani ya Thai Village Masaki.
Sio kikako bali ni mashabiki wa Skylight band wakiwa tuliiiiiii wakisubiri kuimbiwa wimbo wa happy birthday,keki ileeee kwa mbaliiiii.
Untitled 1
Hapo sasa vijana watanashati wa Skylight Band wakiongozwa na Sam mapenzi katikati wakifanya yao ndani na Thai village Masaki.
Rudisha simu yangu, rudisha mali zanguuu rudishaa huyo ni Joniko Flower akiimba kwa utamu kabisa ndani ya Thai Village Masaki.
Joniko Flower akicheza na sauti yake tamuuuu kuwapa burudani mashabiki wa Skylight Band
Kwach kwachuuuu ni Sam mapenzi na Sony Masamba wakicheza sebene kali la Skylight Band.
Hapo sasa hapooooo ni raha tupuuuu tu
Untitled 2
Wewe weweee aiiii aiiiii Ni utamu wa sebene kali hapoo la Skylight Band
Tingisha Tingisha kiunooo kiunoooo Joniko Flower akisebenuka na waimbaji wenzie.
Divas wakaliiiiiii wakipata ukodak kwa raha zaoooooo
Wadau wa Skylight wakifurahia show kali toka Kwa Skylight Band ndani ya Thai Village.
Haya sasa wadau wakishow love kumwimbia birthday boy wa siku
Yeeeeeee yeeeeee kata kekiiiiiiii kata kekiiiiii
Hahahahaha Sisikiiii tenaaa mnasemajeeee vileeee?ni furaha tu hapa ya kusheherekea siku yake ya kuzalia
Haya kipenzi changuuu kula kekiii hiii na iwe kumbukumbu
Wewe wewe hehehe Madivas waserebuka kwa raha zaoooo
Ni raha tupuuuu tu hapa mziki mtamu na mzuri toka kwa Skylight Band
Mdau mkubwa sana wa Skylight Band Alois Ngonyani akikata keki kwa ajili ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa,na kama kawaida Skylight Band walimwimbia wimbo maalum wa siku yake ya kuzaliwa
Wapenzi wa Skylight Band wakiserebuka kwa raha zaooooo
Aneth Kushaba Ak 47 akifurahi jambo na marafiki zake ndani ya Thai Village
I no like this your touching body...Cos you know say my mama no like am.....I no want this your touching body....Cos you know say my papa no like am..... weweeeee ni raha tuuu hapa kwa dada huyu akiserebukaa
Hahahahahahaha Hawa Skylight ni moto wa kuotea mbaliiii la sivyo utaunguaaa unasikia vitu ivyooooo kaka huyo akisema kwa furaha kubwaaaaaaa
Untitled
Personally personal personally....Personally personal personally ehhhhhh hahaha kwa rahaaaa zaoooo wakaka hawaaaaaa.
Mashabiki wakifurahia kwa rahaaa zao mziki mzuri wa Skylight Band
Hawa jamaaa wanajiita Wanamanyoyaaa ni balaaaaa kwa stageeeee
Haya twendeeee sasa twendeeeee vijana hawa wanamanyoya wakicheza kwa rahaaaaa zaooooo
Hahahahahahahaha wewe Aneth Kushaba na wenzio ni balaaaaa sana akisema dada huyu baada ya kukunwa vilivyo na Skylight Band
Pa pa pa Ni mtayarishaji muziki wa Skylight band akiyarudi mangoma kwa raha zakeeeee.
Next Post Previous Post
Bukobawadau