Bukobawadau

MDAU FRANK THEODORY KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA USIKU ILIYO ANDALIWA NA RAIS KIKWETE

Mdau frank theobald theodory  (katikati) akiwa na Rais Jakaya Kikwete na mkewe,Mama Salima alipo pata bahati ya kushiriki  Hafla ya  Chakula cha usiku iliyo andaliwa na  Mh  Rais Kikwete alipokutana na viongozi wa watanzania wanaoishi  Nchini Ubelgiji.
   
Hafla hiyo ilifanyika katika hotel ya Sheraton, Brussels ,Mdau Frank Theobald Theodory anaesoma PhD yake chuo kikuu cha Bonn Ujerumani ,pichani anaonekana akisalimia na Mke wa Rais Kikwete,Mama Salma.
Next Post Previous Post
Bukobawadau