Bukobawadau

TASWIRA MKUTANO MKUU WA MIZANI WA KCU (1990)Ltd ULIOFANYIKA JANA APRILI 29,2014

 Meneja bodi ya cha kikuu cha ushirika mkoa wa Kagera KCU (1990) Ltd Ndg Vedastus Ngaiza akitolea jambo ufafanuzi mbele ya wajumbe wa Mkutano huo uliofanyika katika ukumbe wa Bukop Coop unaomilikiwa na Chama hicho.
 Mwenyekiti wa bodi ya cha kikuu cha ushirika mkoa wa Kagera KCU 1990 Ltd Bw. John Binunshu akitoa angalizo wakati mkutano huo ukiendelea,kwa siku ya Jana Jumanne April 29,2014.
 Wajumbe wa mkutano mkuu wa mizani wa chama kikuu cha ushirika mkoa wa Kagera KCU wakifuatilia majadiliano, ambapo mambo mengi yamejadiliwa ikiwa kilio cha wakulima wa zao la kahawa ni uwezekano wa kulipwa malipo ya nyongeza.
 Wajumbe wakifuatilia kinacho, kutoka kwa viongozi wa Chama kikuu cha ushirika KCU.
 Mhasibu Mkuu Chama cha Ushirika  mkoani Kagera,KCU (1990) Ltd.
 Mmoja wa watendaji ndani ya Mkutano huu
 Mzee Ngalinda pichani kushoto na Mama Muhazi pichani kulia sehemu ya wajumbe wa bodi ya cha kikuu cha ushirika mkoa wa Kagera KCU 1990 LTD.
 Mmoja wa wajumbe akiuliza swali
Meneja wa KCU (1990)LTD Ndugu Vedastus Ngaiza akitolea maswali majibu kwa kina.
Sehemu ya waandishi wa habari, kushoto ni Prudence Karugendo wa Tanzania Daima.
 Wanahabari wa vyombo mbalimbali.
Mkutano wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Mkoa wa Kagera(KCU)uliofanyika janamjini Bukoba katika Hotel ya BUKOBA COOP inayomilikiwa  na Chama hicho kinachoundwa na vyama vya  msingi vya Wilaya za Muleba,Missenyi na Bukoba Uukiwa unaendelea.
Mkutano huo uliokuwa unajadiri hesabu za Mizania na Mapato,wajumbe  pamoja na mambo mengine ikiwa ni pamoja na wajumbe kutaka kujua Mali zote zinazomilikiwa na chama hicho
Wajumbe wakiendelea na mkutano huo
Mjumbe akihoji maswala mbalimbali  ya kimahesabu.
Kutoka Chama cha ushirika Ibwera anaonekana Ndg Nyangasha Sadru.
 Mkaguzi wa Coasco akitoa maelezo
 Taswira ukumbini.
 Bango la Hotel ya Bukoba Coop inayomilikiwa na Chama kikuu cha Ushirika Mkoani Kagera KCU.
Mzee Baruti na Mzee Ngalinda Wajumbe wa Bodi ya KCU (1990)
 Taswira mkutano ukiendelea

Next Post Previous Post
Bukobawadau