SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

08 May 2014

BALOZI KAMALA AKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI TANZANIA

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ubelgiji Tanzania Mhe. Adam Koeler baada ya kumaliza kikao kuandaa  ziara ya wadau wa miundombinu ya sekta za bandari, reli na kilimo itakayofanyika Ubelgiji kuanzia tarehe 19 - 23 Mei, 2014. Kikao kimefanyika leo Dar es salaam nyumbani kwa Balozi wa Ubelgiji Tanzania

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU