Bukobawadau

PATA KUONA MATUKIO HARUSI YA MDAU AZIZ KICHWABUTA NA ANIFA HAMIDU LEO MAY 24,2014

 Kweli kila mtu ameumbwa kwa mfano wa Mungu,Ni nice couple ndivyo wanavyo onekana Bwana na Bibi harusi  katika matukio ya picha za  ukumbusho muda mchache kabla ya kuingia ukumbini kwa ajili ya Shughuli ya Maulid .
 Katika muendelezo wa picha za kumbukumbu
 Ndioooo!!
 Maharusi wakiendelea kupiga  picha maalum katika bustani safi yenye kupendeza.
Naam Sheikh Aziz Hussein Kichwabuta
  Katika  pozi moya  pana na zitoa wakionyesha wazi nyuso zenye  mahaba mapana!
 Katika kitu kinaitwa pozi  hakika Bi Anifa anatosha!
Kwa  akinadada hapa tumepata la kujifunza muonekano wa Bi Anifa alivyo paka 'EYESHADOW' na kupendeza,tulikalili ukivaa nguo yenye rangi tatu ,basi zote zionekane kwenye jicho  hiyo Noma !!
 Muonekano wa Bi Harusi katika Uvaaji mzuri wa  Kiislam hakika amependeza!
 Wakati tukiendelea na matukio i, tumepokea Email ya kuwapongeza maharusi hawa kama inavyosomeka katika picha inayofuata..
Congratulations Aziz and Anifa! Mum told me about this site so just had to drop in and see the happy couple. You both look so happy, it brings back wonderful memories of my own special day.
 Congratulations again and remember to enjoy every single minute of it! Good luck and all the best. Love, your Friend Paul.
 Watoto wa Kihaya asilia, hahahaaa wamependeza mbayaaaaaaaaaa!!
 Wanaonekana wapambe wa maharusi mara baada ya tukio la picha za kumbukumbu.
 Anaonekana Bi Sauda Kichwabuta Dada wa Bwana Aziz Kichwabuta
 Huu ndio muonekano wa Bi Anifa muda mchache kabla ya kuingia ukumbini
 Moja ya kitu kikubwa ninacho weza kusema ni kwamba hawa jamaa wanajua ni nini kinachotakiwa
 Kutoka eneo moja kwenda jingine
Shughuli  imewahusisha wadau wote wa Manispaa yetu, kwa kiasi kikubwa
 Maharusi wakipata picha za fukweni.
 Swaggar za wanahabari katika kuwajibika .
 Dada Johari Kichwabuta katika picha ya fukweni na Maharusi, Mr & Mrs Aziz
Anaonekana Mama Arafat, Shangazi wa Bwana Aziz Kichwabuta.
Kando kando ya Ziwa Victoria Mdau Aziz na Mke wake wake
 Upande wa Usafiri na maswala kama hayo alisimama vyema Mdau Rhym Kabyemela
 Mdau Jamal Kalumuna Mwenyekiti Kamati ya Usafiri , katika harakati  zake.
Wakati msafara ukiendelea, Bwana Harusi amefanya kufuru pale alipokuta kukundi la watu  anachomoa pesa anawarushia watu na wanazigombania.
Swala zima la kurusha hela barabarani 'limerusha watu roho'na ni gumzo kila kona ya mtaa.
 Msafara wa Maharusi ukiwa Hamugembe Darajani
 Usawa wa Rwamishenye (Round about)
 Sheikh Mustapha akisoma Dua ya Ufunguzi wa sherehe hii.
 Ukumbini Waalikwa katika hali ya utulivu kabisa
 Waalikwa ukumbini
 Taswira ukumbini sehemu ya waalikwa .
 Sheikh Chabitala katika kisomo.
Shughuli ikiendelea.
 Mama Barongo pichani kushoto, na Mwanae Dada Pascazia Barongo wakifurahia kinachoendelea.
 Taswira ukumbini.
 Waumini wakisimama kumsalia Mtume (s.a.w)
 Sheikh Mustapha akitoa Dua
Mdau Jeanifer Murungi Kichwabuta
 Katikati ni Mama Nurag (Mama Nurath)
 Mdau Mrishid wa Rose Cafe pichani kushoto, Badru Kichwabuta,na Haji Habuba
 Mzee Haruna Mgula na Mzee Abbas.
 Katikati ni Bibi wa Bi Harusi wetu .
 Sehemu ya Wageni kutoka Jijini Mwanza, anakotokea Bibi Harusi wetu Bi Anifa wa Aziz.
 Haji Adamu Sued pichani
Wanafunzi wa Moja ya Madarasa Iliyoweza kupagawisha na kuzipatia umaarufu mkubwa.
Wacha weeeh wanandugu  wakifurahia 'Kaswida' kiimani ndio muziki mtamu na mzuri
Hakika ni furaha  kwa Bwana Harusi , ndugu na marafiki wa familia ya Kichwabuta.
 Burudani ya Dufu kama kawaida huwa apakaliki
 Sheikh Haruna Kisaha akitoa nasaha zake kama Mzazi wa Bwana Harusi, na kama Sheikh.
 Sehemu ya Wageni Waalikwa
 Anaitwa Raulence Barongo(Boxer)
Mdau Taimuli Karama.
Dada Johari pichani kulia katika pozi na Bi harusi
 Mzee Philbart Nyerere (pichani kushoto )na Mdau Rajesh Patel.
 Ukumbi unalipuka kwa shangwe walipo nyanyuka Maharusi wetu...
 Picha zaidi ya200 zipo tayari katika ukurasa wetu wa facebook.'Bukobawadau Entertainment Media'
 Anaitwa Majid Hussein Kichwabuta,Mwenye furaha tele, pichani kushoto
 Bibi Harusi Bi Anifa Hamidu , Mke wa Mdau Aziz Kichwabuta.
Katika Ubora wake na umakini anaonekana Muongozaji wa Shughuli hii,Salum Mawingo.
 Sheikh Haruna Kichwabuta, akitumia fulsa hii kutoa shukrani kwa ndugu wa Bibi Harusi pichani
 Ndugu wanafamilia katika utambulisho
 Mama Farida akiwa  katika picha na maharusi mara baada ya kuwakabidhi Zawadi kama MWENYEKITI wa kamati ya akina mama walishiriki kuwezesha shughuli hii 
Kaka Badru Kichwabuta katika picha na Sheikh Habibu Kichwabuta
 Mama Johari Mama Mzazi wa Bwana Harusi, pichani kulia
 Bwele ya Bwana Harusi ni Kaka zake Wakubwa wakiongozwa na Baba yao Mdogo katikati
 Sheikh Habibu Kichwabuta,katika zoezi la kumkabidhi Bwana Zawadi maalum.
 Katika Ubora wake anaonekana Sheikh Habibu Kichwabuta akitoa nasaha kwa Bwana Aziz kwa kutumia mchanganyiko wa LUGHA  4 ,Pitia sehemu ya kwanza ya Video yetu kwa kubonyeza kitufe cha Play  hapa chini.
CHECK SEHEMU YA PILI YA VIDEO SHEIKH HARUNA AKITOA NASAHA ZAKE.
Next Post Previous Post
Bukobawadau