Bukobawadau

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA USALAMA WA CHAKULA YA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Usalama wa Chakula ya Ubelgiji Bwana. Pierre Nassens ( wa pili kutoka kushoto). Balozi Kamala ametembelea taasisi hiyo leo Brussels kushauriana nayo  jinsi inavyoweza kushirikiana na Tanzania. Wengine katika picha ni wataalamu katika taasisi hiyo
Next Post Previous Post
Bukobawadau