Bukobawadau

KATIBU MKUU WA SEKRETARIETI YA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI (ACP) ASHAURIANA NA WAZIRI KIGODA

Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya ACP Alhaji Muhammad Mumuni (kulia) akishauariana na Rais wa Baraza la Mawaziri la ACP Mhe. Dr. Abdallah Omari Kigoda (katikati) kabla ya kuanza kikao cha pamoja cha Baraza la Mawaziri wa ACP na Jumuiya ya Ulaya. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa ACP Dr. Diodorus Buberwa Kamala. Waziri Kigoda yupo Jijini Nairobi Kenya akiongoza Kikao cha pamoja cha Baraza la Mawaziri la ACP na Jumuiya ya Ulaya.
Next Post Previous Post
Bukobawadau