Bukobawadau

WEMA SEPETU AKANUSHA TAARIFA ZA UJAUZITO

Staa wa movie Tanzania a.k.a Mrs. Diamond Platnumz ameamua kuandika ukweli kuhusu stori ulizosikia kwamba kwa sasa ni mjamzito… Kupitia page yake ya instagram Wema ameandika ‘Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant…. sijui watu wanatolea wapi… Im NAT… Dah… I wish I was… But im nat wapenzi wangu’
 Hiki ndicho alichokiandika Wema Sepetu
Next Post Previous Post
Bukobawadau