Bukobawadau

BALOZI KAMALA ATEMBELEA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA SABASABA

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya  Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimsikiliza Afisa  wa PPF akimweleza Mfuko wa Pensheni wa PPF ulivyojipanga kuhudumia Wanachama wake. Kulia kwa Balozi Kamala ni Bi. Lulu Mengele Meneja wa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF.

BALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA YA SABASABA
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Property International Bwana. A. Haleem alipomtembelea banda la kampuni hiyo inayoshiriki Maonesho ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam. Kampuni hiyo inatoa huduma za kupima ardhi na viwanja kwa kutumia teknolojia ya kisasa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau