Bukobawadau

SALA YA WANAJUMUIYA WA KYAZI-KAHORORO NYUMBANI KWA MAMA JUSTUCE RUGAIBULA

Awali ya yote Mama Justuce Rugaibula (pichani),pamoja na familia yake Wanamshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka zake.
Kwa Upendo wa Kristo ,katika kile kinacho aminika ni kumtumikia na kuwajibika,hapa  ni nyumbani kwa  Mama Justuce Rugaibula ,Padre anaungana  na Wanajumuiya wa Kyazi Kata ya Kahororo Mjini Bukoba kwa  kuongoza Ibada maalum iliyofanyika nyumbani hapo.
Huu ni utaratibu wa kawaida kwa Wakatoliki  kumtukuza Mungu katika vipindi mbalimbali au ngazi kwa ngazi  kupitia Jumuiya ndogo ndogo, vigango ama dekania.
 Nipeni mioyo yenu iliyo wazi na iliyosafishwa, nami nitaijaza upendo wa Mwanangu.Upendo wake utaipa maisha yenu maana nami nitatembea pamoja nanyi;'hayo ni maneno kutoka katika  maandiko'
 Padre anaongoza maombi ya kuibariki nyumba hii.
  Padre hapa akiendelea kuongoza sala kuwaombea Wanafamilia hii kwa siku hiyo
Maandalizi ya Maji ya baraka.
 Padre akitoa Maji ya baraka kwa waumini
 Maombi yakiendelea,Tuna kila sababu ya kumtukuza Mungu katika kipindi hiki na kinginecho. 
Sehemu ya Wanakwaya na Waumini walioshiriki  katika Ibada hiyo
Muonekano wa Waumini katika Ibada hiyo.
Padri akitoa mahubiri
Sehemu ya Waumini wakiendelea kumsikiliza Padri
 Wanajumuiya wakikabidhi sehemu ya bidhaa.
Sehemu ya wanajumuiya na wageni toka sehemu mbalimbali wakati wa Ibada hiyo
 Maandiko yanasema;'wataokoka tu wale ambao watatembea kwa upendo na imani kumwelekea Baba wa Mbinguni'
 Wanakwaya wakitumbuiza
Ngoma na vinanda vikisikika wakati wanakwaya wakitumbuiza katika Ibada maalum ya Wanajumuiya wa Kyazi-Kahororo iliyofanyika nyumbani kwa Mama Justuce Rugaibula.
 Bukobawadau Blog tunazidi  kuwaombea ushirikiano katika vipindi vyote kwa Upendo naVitendo.
 Nawakusanya kama mitume wangu na nitawafundisha jinsi ya kuwajulisha wengine upendo wa  na jinsi ya kuwafikishia habari njema.
 Mama Justuce Rukaibula akitoa sadaka yake.
 Taswira wakati Ibada Ikiendelea.
 Pichani ni sehemu ya Wadau wanajumuiya ya Kyazi-Kahororo.
 Mwisho Roho Mtakatifu awaongoze kwenye umoja na ukweli mkamilifu katika kuyatekeleza majukumu ya kila siku
Next Post Previous Post
Bukobawadau