Bukobawadau

SKYLIGHT BAND WAZIDI KULITIKISA JIJI LA DAR NA VIUNGA VYAKE KWA BURUDANI KALIII ILIYOKWENDA SHULE, TUKUTANE LEO THAI VILLAGE

Diva wa Skylight Band Mary Lucos akiimba kwa uzuri kabisa Ndani ya kiota cha burudani Thai Village.Bendi yako machachari na inayopendwa zaidi ndani ya Jiji la Dar es salaam na viunga vyake vyote Skylight Band inakukaribisha wewe mdau,mpenzi na shabiki wa kweli Leo hii kuanzia mida ya Tatu kamili ndani ya ukumbi wa Thai Village Masaki,ambapo burudani ya nguvu itaporomoshwa na wanamuziki mahiri wa bendi hiyo kama Aneth Kushaba, Mary Lucos, Digna Mbepera, Sam Machozi, Donode, Joniko Flower na Sony Masamba. Njoo upate muziki mzuriiiii na ladha zote za kiafrika na ulaya pamoja na suprizeee kibaooooo.
Digna Mbepera akiimba na kucheza kwa umahiri kabisa ili kuwapa burudani wapenzi na mashabiki wake.
Anaitwa Aneth Kushaba a.k.a AK47 au Le Meneja Her Self akiimba kwa mikogooo safi ndani ya Thai Village ili kuwapa burudani ya nguvu mashabiki wake.
Le Meneja Her Self akiimba kwa hisia kaliiiiii kabisaaaaa.
Aneth Kushaba(katikati)akiongoza madiva wenzake wa Skylight Band Digna Mbepera(kulia) na Mary Lucos(kushoto) kushambulia jukwaaa sawa sawa na kwa vocal kali.
Hashimu Donode A.K.A Dogo Dogo akilishambulia jukwaaa kwa nguvu ili kuwapa burudsni mashabiki wake.
Bana ba Kongo Joniko Flower(kushoto) na Sony Masamba(kulia) wakiimba kwa uzuriiiii kabisa zile ladha za kilingala na bolingo na kutoa burudani kaliiii kwa mashabiki wa Skylight Band
Hapo sasaaaa Bana ba Kongooo wakianza kuyarudi mauno taratibuuuuuuu
Joniko Flower(kushoto)akiongoza Majembe ya Skylight Band Sony Masamba(katikati) na Sam Mapenzi(kulia)kucheza masebene yaliyokuwa yakiporomoshwa ndani ya Thai Village
Sony Masamba(kushoto) na Sam Mapenzi(kulia)wakiyarudi kwa rahaaa zaooo
Hapo sasaaa Mpaka chini taratibuuu Joniko Flower (kushoto) akiongoza Majembe ya Skylight Band Sony Masamba(katikati) na Sam Mapenzi(kulia)kucheza masebene yaliyokuwa yakiporomoshwa ndani ya Thai Village.
Hapana chezea kabisa vijana hawaaaaa,si unaona mwenyewe mastepu hayooo njooo leo na wewe ufurahiiii.
Hapo sasa Aneth Kushaba Le Meneja Her Self(kulia) akiwapa tafu ya mauno lainiiiiii na nyoroti Sony Masamba(katikati) na Joniko Flower(kushoto)
Daudi Tumba akiziadhibu vilivyo tumba zake ili kuleta ladha nzuriiiiiii ya muziki
Tophy Bass akilikung'uta vilivyo Gitaa Lake kuleta ladha tamuuuuuuu kwenye muziki
Mosee Vinanda akifurahia kuzipapasa tufe za kinanda chake na kuleta ladha tamuuuu kwenye muziki unaopigwa.
16.1
Viunooooo Viunoooooooo hapo ni mashabiki wakicheza kwa raha zaooooo muziki mzuri uliokuwa ukipigwa na vijana wa Skylight Band
Hapo ni viunoooo hatari kwa mashabikii kwa mduara mzitooo uliokuwa ukipigwa
Mwanamanyoya akipata Ukodak na Mdau wa Skylight Band.
Wadau wa Skylight Band Wakipata Ukodak kwa Furahaaa teleeeeee
Muddy Bawaziri (katikati) wakifurahia muziki mzuri wa Skylight Band na mdau King Kif (kulia).
Weweeee na Yuleeeee usikoseeee leo ndani ya Thai village upate burudani nzuriiiiiiii!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau