Bukobawadau

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MEYA WA MANISPAA YA COVVIN UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) amekutana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Covvin ya Ubelgiji Bwana Raymond Douniaux (kulia). Balozi Kamala  amemuomba Mhe Meya huyo kutangaza Utalii wa Tanzania na amemkabidhi  vifaa ya kutangaza utalii wa Tanzania
Next Post Previous Post
Bukobawadau