Bukobawadau

SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU BIBI PETRONIDA KOKULIKILA - KIJIJINI ITAHWA JUMAPILI SEP 7,2014.

Fr.Deo  akiongoza ibada ya Mazishi ya Marehemu Bibi Petronida Kokulikila iliyofanyika nyumbani kwake Kijijini ITAHWA-KIZIGO jumapili ya jana Sep7,2014 Majira ya Saa 10 alasili 
 Sehemu ya Wanakwaya wakishiriki ibada ya mazishi
  Mtoto mkubwa wa Marehemu Bibi Petronida Kokulikila
Sehemu ya Video ya Shughuli ya Mazishi haya inapatikana mwisho wa habari hii.
  Waumini wa Kikatoliki wakiendelea  kushiriki Ibada ya Mazishi ya Marehemu Bibi Petronida Kokulikila .
 Pichani kutoka Kulia ni Mjukuu wa Marehemu Ndg David Kyajuga, katikati ni Ndugu Philbart anayefuata kushoto ni Ndugu Sunday.
 Taswira Ibada ikiendelea.
 Waombolezaji waliofika kushiriki Shughuli hii ya Mazishi ya Bibi Petronida Kokulikila
mapambio ya nyimbo za kikristo wakiendelea wakati wa Ibada ya Maziko haya.
Ibada ya mazishi ikiendelea.
  Sehemu ya Waombolezaji .
Fr.Deo Awali akiongoza ibada ya mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu Kijijini Itahwa -Kizigo
Waumini wakifuatilia somo kwa umakini.
Sehemu ya Waumini wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi.
Histori fupi ikisomwa na Mtoto wa Marehemu,Marehemu Bibi Petronida Kokulikila 1927-2014.Alipata ubatizo  mwaka  March 25,1944 pia alibahatika kupata elimu mpaka darasa la nne katika shule ya Msingi Bunena.
 Marehemu Bibi Petronida Kokulikila aliolewa  kijijini Itahwa mnamo May 10,1944,Marehemu ameacha watoto 6 ikiwa wa kiume ni wawili (2)na wakike wanne (4)


Mwakirishi wa Chama cha Umoja wa Wafanyabiashara Mjini Bukoba  akitoa neno kabla ya kukabidhi rambirambi kwa Ndugu Kyajuga
Katika kumfariji ndugu Kyajuga kufuatia kuondokewa na Bibi yake Mlezi.

 Salaam za rambi rambi kutoka Wanachama wa Tweyambe- wa Mafumbo  Mjini Bukoba.
 Muongozaji wa Shughuli hii Mc Jerry akimsikiliza Mwanasiasa aliyetumia nafasi ya rambirambi kutangaza Sera.
Katibu uchumu na fedha wa CCM wilaya ya Bukoba Vijijini Ndg Novatus rwechungura Nkwama akitoa Salaam za rambirambi.
Ndugu Yusuph Wastara akiteta na ndugu Inno Banyenza.
 Ndugu Hafidhu Karugira na Mdau Magnus
 Utapata kuona yaliojili kwavipande kupitia  Video zilizopo mwishoni  mwa habari.
Muda mchache kabla ya kuelekea eneo la Makaburi, Ndg Inno Banyenza akipigilia msumari wa Mwisho.
Kuelekea eneo la Makaburi.
 Jeneza lenye Mwili wa marehemu Marehemu Bibi Petronida Kokulikila likiingizwa kaburini
 Ndg Novatus Rwechungura Nkwama akiweka Udongo kaburini
Wanafamilia wakishiriki zoezi la kuweka udongo.


Wanafamilia wakikamilisha zoezi la kuweka udongo kaburini.
Fr.akisimika Msalaba Kaburini
 Mashada ya Maua
Ndugu Kyajuga akiweka Shada kwenye kaburi la Bibi yake Mpendwa
 Wajukuu wa Marehemu katika hali ya Simanzi.
Kwa pamoja wajukuu na Vijukuu vya Marehemu Bibi wakiweka mishumaa kaburini.
Vijukuu wa Marehemu wakichukua kumbukumbu .

 Watu kutokea maeneo mbalimbali wakishiriki wakishiriki shughuli ya Mazishi ya  Bibi Petronida.
Simanzi kubwa ikiwa imetanda kwa wanafamilia hii.

 Sister kutoka Missionary Sisters of Mary mother of the Church (mama wa mkombozi ).Itahwa
BUKOBAWADAU BLOG Tunatoa pole  kwa ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu.  tunamuomba MUNGU ailaze roho ya marehemu  pahali pema peponi amen!!
Katikati anaonekana Ndugu Optaty Folo
Shughuli ya mazishi ikiwa inaendelea.
 Sehemu ya Wakamwana wa Marehemu Bibi.

 Kwa matukio ya picha zaidi ya 200 jiunge nasi kupitia hapa>Bukobawadau Entertainment Media
SEHEMU YA KWANZA YA VIDEO IBADA YA MAZISHI. SEHEMU YA PILI VIDEO NENO KUTOKA KWA UMOJA WA WAFANYABIASHARA MJINI BUKOBA. >
Next Post Previous Post
Bukobawadau