Bukobawadau

KATIKA HEADLINE NI UZINDUZI WA JENGO LA MRADI WA COSAD TANZANIA;MGENI RASMI ATOA NYUMBA NI BALOZI KAGASHEKI,UBALOZI WA US NA VIONGOZI WETU WA DINI WASHIRIKI

Ni siku tulivu ya Ijumaa Oct 3,2014,  Ugeni wa COSAD Tanzania unapata Mwaliko Nyumbani kwa Mh.Mbunge wa Bukoba Mjini Balozi Khamis  Kagasheki
Muonekano wa Kitu Menu
  Waalikwa wakipa Chai iliyo andaliwa nyumbani kwa Mbunge, Balozi Khamis  Kagasheki.
Kushoto ni  Ndugu Sued Juma Kagasheki  akiteta Jambo na Mjumbe wa H/Kuu ya Taifa (NEC) Ndg Masudi Kamala Kalumuna pichani kulia.
Mh. Balozi Kagasheki akitoa neno kwa wageni waalikwa na kuwaomba Shukrani hizi zinamstahili Bibi pichani kushoto ambaye ndiye mwaandaji wa huduma zote zilizopatikani Nyumbani kwake.
 Ni wakati wa ku-Enjoy mazingira safi na tulivu ya Nyumbani kwa Mh. Balozi Kagasheki  yanayo nakshiwa na bustani safi na muonekano wa ziwa Victoria.
 Huu ndio mwanzo wa Sherehe hizi kubwa na za aina yake katika historia ya Bukoba na Mkoa wa Kagera kiujumla  kwa kuzingatia wingi wa Wageni kutoka nje na faida ya  miradi husika
Anawasili Baba Askofu Kilaini,Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba,kushiriki katika Uzinduzi wa  uzinduzi wa jengo jipya la Ofisi Kuu za COSAD Tanzania na sehemu ya Miradi ya kibiashara( launching of the  COSAD Social Enterprise Project  and opening  of the COSAD Headquarter Offices)
 Mmoja wa Wanahabari akiwajibika sambamba.
 Muonekano wa Jengo la jipya la Ofisi Kuu za COSAD Tanzania linalo zinduliwa Rasmi hivi punde.
 Wakiwa wamesima wakati anawasili Baba Askofu Kilaini ,kutoka kushoto ni Mh. Waziri mstaafu na Mbunge wa Bukoba Mjini Balozi Khamis  Kagasheki , Mc Harris Kapiga  akifutiwa na Mwanamama Dokta. Sawa Pamella ambaye ni Msajili wa Vituo vya Afya Binafsi na Umma wizara ya Afya .
Baba Askofu Kilaini akiongoza sala ya ufunguzi wa hafla hii

Ni kikundi cha Kwaya cha Wanacosad kutoka Ngara kikitumbuiza,hii ni moja ya kwaya kongwe katika Ukanda wa Ziwa utapata kuona sehemu ya Video mwisho kabisa mwa habari hii
 Ndugu Mdau Msomaji kama hujawahi kusikia mirindimo ya Injili ya kwaya hii mahiri,basi fanya kutafuta Audio CD au Video
Ni  Wanakwaya wa  COSAD  kutoka Izigo.
 Mwendeshaji wa Shughuli hii Mc Harris  ambaye pia ni mtangazaji maarufu wa siku nyingi akitolea jambo ufafanuzi.
 Taswira muonekano wa meza kuu
Kikundi  cha Ngoma za Asili cha 'Abasinga Group' kutoka nchini Uganda.

Moja kati ya burudani kali yenye kusisimua,usikose kupitia Video iliyopo mwisho wa habari hii.
 KatikaUtaratibu wa kuchukua matukio anaonekana Baba Askofu Kilaini.
 Mwanalibeneke Mac Ngaiza akitumia Ipad kufanya yake.
Burudani watu na matukio... 
Ndugu Kim pichani kushoto na Ms Anitha (kulia)ni Sehemu ya Waalikwa.
 Ndugu Smart Bahitani ambaye Ndiye Mkurugenzi mwanzilishi wa Shirika lisilo la Kiserikali la COSAD Tanzania akitoa neno na historia ya COSAD kwa ufupi.


 Ms Brittany Leitch, na Mdau Jamal Kalumuna wakimsikiliza Rais wa COSAD Tanzania.
  Dokta.Sawa Pamella (kulia)ni Msajili wa Vituo vya Afya Binafsi na Umma wizara ya Afya .
 Kwa umuhimi CEO & President wa COSAD Tanzania anatambua Uwepo wa Walezi, Wajumbe na Washauri wake na anatumia fursa hii kutambua Uwepo makamu Rais wa COSAD Tanzania ambape pia ni Mkewe Dokta Jessica Baitani pichani kushoto
 Mara baada ya kuhitimisha, Mr Smart Bahitani anamkaribisha Mlezi wa COSAD Tanzania Mchungaji Rev. Benson pichani, utapata kuona na kumsikia kupitia Video zetu  hivi punde.
 Mchungaji Ben Swanson ambaye ni Mmoja wa Walezi wa COSAD Tanzania
Mgeni Rasmi Mh. Kagasheki akiongea kwa hisia baada ya kuguswa na maneno ya hotuba iliokuwa ikitolewa na Mkurugenzi wa COSAD Tanzania, Ndugu Smart Bahitani
Awali ya yote Mh. Balozi Khamis Kagasheki amempongeza sana Ndg Bahitani kwa jitihada na Uzalendo alio nao pia amesema;'kutokana na Mradi huo kuigusa jamii moja kwa moja basi ameahidi kutoa Nyumba kubwa iliyopo eneo la Nyamkazi Bukoba ili watu na Viongozi wa mataifa makubwa wanaotoka Nje kwa ajili ya kusaidia jamii ,hususani katika jimbo lake waweze kuishi  kwenye nyumba nzuri.
 Mr.Bahitani anampongeza na kumshukuru Mh. Mgeni Rasmi, Balozi Khamis Sued Kagasheki
Mchungaji Ben Swansona anampongeza Mh. Kagasheki.
 Mc anawakaribisha Waimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Jijini Dar Es Salaam 'The Voice Brothers'.
 Kikundi cha The Voice wakifanya yao kwa uwezo mkubwa.
 Ms Monica Paul (Community Relations Manager)
Ms Brittany Leitch
  Mgeni Rasmi anakata utepe kuzindua Rasmi Mradi wa Kibiashara wa COSAD Tanzania.
Hapa tulipo ni mwendo wa Wi-Fi kwa kasi ya hatari
 Mradi ulio zinduliwa ni pamoja na  Kituo cha  cha Teknolojia na Biashara,Studio ya kurekodi nyimbo za wasanii na Ofisi Mpya za Makao Makuu ya Cosad Tanzania.
Muonekano ndani ya Kituo cha Teknolojia na Biashara(The Bukoba Business Lounge)
 Waalikwa wakipata huduma ya Chakula.
 Wadau wa COSAD na Wageni kutoka maeneo mbalimbali wakiendelea kupata chakula.
 Matukio zaidi ya Picha 150 zipo tayari katika Ukurasa wetu wa Facebook.
TAZAMA SEHEMU YA VIDEO UZINDUZI WA MIRADI YA COSAD, HOTUBA YA COSAD ENDELEA KUWANASI KWA VIDEO ZAIDI NA AUDIO .
Next Post Previous Post
Bukobawadau