Bukobawadau

AQDI YA BI AZATH NA BW.SALIM JAN 24,2015

Ni Matukio ya  Shughuli  ya ndoa ya Bw. Salim Faridu na Bi Azath Hamud ,shughuli hii imefanyika jana Jumamosi Jan 24 ,2015 kuanzia majira ya dhuhuri maeneo ya Kashai Bukoba  Nyumbani kwao na Bi harusi. 
Kama kawaida pale Bukobawadau  pale inaposhirikishwa katika shughuli yoyote na popote,Ndivyo tulivyoweza kujipanga ili kukufikishia taswira  yaliyojiri katika  shughuli ya wanandoa hao.
Tunashuhudia Bi harusi namna alivyo pendeza,amepambwa vizuri ,na kuonyesha utulivu kwenye tukio zima kwa100%, Hongera sana Bi Azath hongera sana Bw. Salim Faridu ,hakika mwanamke ni Haiba.!!
Bwana harusi akipewa Ujumbe mahususi kutoka kwa kaka yake pichani kulia
Bwana harusi katika hili na lile na mpambe wake
Matukio mbalimbali Ukumbini
Sheikh akiongoza Dua ya ufunguzi rasmi wa Shughuli hii.
Sheikh akiendelea kusoma Dua maalum kwa ajili ya Ufunguzi wa Sherehe ya Aqdi ya Bwana Salim Bw. Salim Faridu  mzaliwa na mwenyeji wa Karagwe na Bi Azath Hamid
 Sasa ni burudani safi ya Kaswida
 Sehemu ya wazazi wa Bi harusi wakiongozwana Mama Mniru  kuwatunza wanafunzi wa Madarasa
 Bi Aziza Aziza Abdulmarik naye anashindwa kujizuia kwa midundo ya Qaswida mwanana!
Mwalimu na wanafunzi wa  Madrasa wakiendelea wakiimba Qaswida kwa ustadi mkubwa
 Bwana Abdulrazak  naye akaguswa na Ainavyofanya vizuri sana
 Anainuka Bwana Harusi
Vile  Ash K Bin Amar akiwajibika katika matukio
 Sheikh Kakweke  akitoa nasaha juu ya ndoa
 Kwa mbaliii anasikika mama akisema ;'Alhamdulillah'!!
 Mzee Abdulmalik Mwijage , mzazi wa Bi harusi akitoa nasaha zake.
Mara baada ya nasaha maharusi wanakabidhiwa vyeti vya ndoa yao.
Bwana Salim mara baada ya kukabidhiwa mkataba wa ndoa yake sasa ni halali kwa raha zake kupata kile kinacho stahili
Inshallah  hongereni sana Azath na Salim Mwenyezi mungu atawajalia na Awape dhuriyt swalhin!!!
Kati ya yale machache yaliyojili katika Shughuli hii ni pamoja na Uwepo wa Dr. Abas Byabusha  , Mdau kutoka Ughaibuni  akipewa nafasi maalum kutoa Salaam .
Wa mwisho kushoto ni Ndugu Optaty Henry (katibu ) katikati mwenye (Black)ni Mdau Abdulrazack
Waumini  wakipokea Salaam mahususi kutoka kwa Dk. Abas Byabusha.
Katika hali ya kupendeza na kuvutia Ukumbini namna wanawake  walivyojitanda!
Kwambalii Maswala ya Kuchat..! kama vile...yanahusika..!
 Uncle Salum  Organizer ndiye mshereheshaji wa Shughuli hii akiwajibika
Sehemu ya waalikwa upande wa wanaume.
Kwabashasha wanaonekana Wadau mbele ya Camera yetu. 
Mashallah!!!!!!!!
Taswira wadau katika hili nalile..
Mahafudhi Abdulmalick Kaka wa Bi harusi.
Hongera sana ...! Hongereni  wajukuu zangu !..hongera kwa ukamilifu kabisa...
Haji Swahibu akiwaameongozana na familia yake kutoka Masaka nchini Uganda kushiriki Aqdi hii ,akikabidhi zawadi wake kwa wanandoa hawa.
Zoezi la kutoazawadi likiendelea.
 Ndugu wa familia kutoka nchini Uganda wakiendelea kukabidhi zawadi zao kwa maharusi wetu Bwana  na Bibi Salim Faridu
Yote juu yayote ni furaha tu ikiendelea kutawala ukumbini.
 Eeeh Azath 'Wanula ' Ebyehetari!!!
Ndivyo anavyo onekana Bi Azath  tuona na kukubali gauni lake lilishonwa na Designer maarufu katika ukanda huu.
Mzee Abdulmalik Mwijage akiteta na Uncle Salum.
Anasimama Haji Kazinja katika Utaratibu wa kutoa neno la Shukrani kwa Wageni wote
Tunarudia..hongera sana Bi Azath hongera sana Bw. Salim Faridu ,hakika mwanamke ni Haiba.!!
 Taswira mbalimbali Ukumbini Shughuli ikiendelea.
 Sehemu ya Wanafamilia katika  katika picha ya pamoja
Haji Kazinja akiagana kwa kuwakumbatia kwa furaha familia ya Byabusha.!!
Hakika Changamoto ilikuwa kubwa shughuli ilikuwa Safi , Wadau wamejitokeza kwa kila rika .
 Mama Jamila Songoro na Mama Hawa Galiatano
Kwa matukio mengineyo ya Shughuli ya Ndoa, matukio ya Mnuso , Zawadi na taswira mbalimbali  utaweza kuona katika picha zaidi ya 200 kupitia katika Ukurasa wetu wafacebook maarugu kama Bukobawadau Entertainment Media
 BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 39724
 Mama Mlezi wa Bi Harusi  wakati wa kutoa Salaam na kuwashukuru Wageni wote walioweza kuhudhuria shughuli ya mwanae.
BUKOBAWADAU BLOG tunawaombea MOLA awajalie kizazi bora pia awajalie kheri na salama  katika Maisha ya  ndoa yenu!
Kwa matukio ya picha zaidi  ya 200 JIUNGE nasi kupitia hapaBukobawadau Entertainment Media
Next Post Previous Post
Bukobawadau